Je, ungependa kumiliki website na mobile app kuwarahisishia wateja wako huduma? Kama utasoma hadi mwisho, utafahamu namna ya kuwekeza biashara yako kwa njia ya mtandao na kuvuna matokeo.
Hi! Jina langu ni Erick Philemon. Nawasaidia wafanyabiashara namna ya kujenga biashara mtandaoni na kupata matokeo. Kampuni yangu ya ESOTECH imesajiliwa kisheria kama ERICK SOFTWARE TECHNOLOGY. Tuna uzoefu wa zaidi ya miaka 4+ katika sekta ya software na digital marketing.
🌐 Marketing place Website & App: Download App
📱 App: Download App
📱 App: Download on Playstore
📱 App: Download App
🌐 Website: autosoko.org
Bei ya kawaida ni Tsh 5,000,000, lakini leo utapata kwa Tsh 3,500,000 tu.
Lakini leo tunakupatia kwa Tsh 3,500,000 tu.
Mtu wa kwanza kujiunga atapata Social Media Management kwa miezi 6 badala ya miezi 3.
Kama Website au App haitakusaidia, tutaitengeneza upya bila gharama yoyote. Pia utapata usaidizi wa miezi 6 wa maboresho na uangalizi wa servers.
48:00:00
Ni kwa biashara 3 tu!
Piga simu sasa 0743693885 ili kuwahi ofa hii kabla haijaisha!
P.S: Ukiwa wa kwanza kujiunga na ofa hii, tutasimamia Social Media zako kwa miezi 6 bure kabisa.